Kihehe
Donate About Tutorials FAQ
Living Dictionaries
Kihehe
Home
Entries
About Grammar Contributors
Donate About Tutorials FAQ
Terms of Use Privacy Policy Youtube terms Google terms
Entries
  1. -nya— -enye
  2. lulagilo— sheria
  3. -ingila— ingia
  4. wupeemba— mtama
  5. ludali— nguvu
  6. sosoli— chawa
  7. umwaaka ugulutye— mwaka jana
  8. -loota— ota
  9. ku.gita— fanya (kwa vitendo)
  10. lugeleka— tuta
  11. ng'ina— mmama
  12. -vaamba— wamba ngozi, wamba ngoma
  13. -keedung'ana— changanyikiwa
  14. mwaambu— ng'ambo
  15. -gelesula— Swahili missing
  16. -inooma— burudika
  17. silaanga— shoka
  18. -swaakula— sukutua, piga mshaki
  19. -pata— pata
  20. ku.fwaaya— faa
  21. ng'ong'onala— MISSING
  22. Sabuli— Zaburi
  23. lwelele— ufa
  24. ku.fwaahisa— sumbua
  25. ng'elu— kiu
  26. ligani— shamba la baba pekee; hulimwa na yeye na wake zake
  27. -gwa— anguka
  28. lifulo— povu
  29. -fudikila— kupata mtoto baada ya mwingine, wakati yule aliyezaliwa tayari hawezi hata kusimama kwa miguu yake miwili na kwa hiyo atakufa kwa utapiamlo
  30. liteleko— chungu kikubwa cha kupikia pombe
  31. umweene— yeye
  32. -baduka— vunjika (mfano kiti au bakuli)
  33. dogovi— punda
  34. -tyaavika— MISSING@SIMON & ADRIANO
  35. fikukupani— utitiri
  36. kilugu— kundi la wanyama au watu.
  37. -koomala— kaa (kwenye kiti/chini)
  38. kisoofu
  39. -neema— shindwa
  40. -yaaya— isha nguvu au muda wa matumizi
  41. -nyuumula— nyofoa
  42. baaha ipa— hapa hapa
  43. -kuungula— somba
  44. manyawulesi— mawele
  45. -simika— chemsha (maji meupe ya mahindi kwaajili ya kuchemshia komba)
  46. sigala— baki
  47. mbapi— pumba
  48. kiny'o— kuma
  49. puundi— ng'ombe asiyekuwa na pembe
  50. -alama— kubaki mahali pamoja kwa muda mrefu, kukaa ndani bila kutoka kwa kipindi fulani (mara nyingi huwa ni kwa mwanamke aliyejifungua au kuku aliyeatamia mayai)
  51. -hoomoka— chomoza
  52. kaasi— kazi
  53. -ogeela— ogelea
  54. lufuwo— dharau
  55. siindula— tafuna
  56. ku.daga— fukuza
  57. -tulika— kutiririka kwa maji kutoka ardhini kuingia kwenye kisima kilichochimbwa
  58. -hosa— ndege kama kuku kulea vifaranga wake
  59. -sanya— Kata
  60. -pitila— chomekea; funika kwa kuzungushia
  61. -tyuusika— MISSING@SIMON & ADRIANO
  62. -bakula— rina asali kutoka kwenye mzinga/mizinga
  63. mweenda— nguo
  64. -lekwa— achwa, achika
  65. uhiila— mwagilia
  66. apamwi— labda
  67. -lema— shinda (shindikana)
  68. luleenga— maji
  69. lusika— kwa muda
  70. lukemeelo— mwito
  71. tuupiilila— complement profusely
  72. lidete— matete
  73. -huusa— chuja
  74. paangula— pangua
  75. lwaaho— unyayo, nyayo
  76. -sikimala— tulia
  77. -hemusa— chemsha
  78. -woola— kata (mfano kucha)
  79. kilega— kujinafasi, kujipa raha
  80. ndoonya— mvua
  81. -wulaga— ua
  82. -luluma— nguruma
  83. -inyaasa
  84. -havila— loga
  85. -tuna— vimba
  86. kibuumu— upupu
  87. -longela— ambia
  88. -haala 2— pochi ya kuwekea kisu au panga
  89. ng'oleko— gundi ya kushikizia mpini au chuma (shoka, jembe, mundu)
  90. paluheengo— nyuma ya nyumba
  91. pweepa— nong'ona
  92. lugoda— fimbo
  93. pakilo— wakati wa usiku
  94. -suumbula— sumbua
  95. -wuunga— shauri
  96. -tigana— kazana
  97. lipelele— fefe (nyasi ndefu ambazo mara nyingi hutumika kwenye ujenzi)
  98. -akwe— kiwakilishi kimilikishi cha nafsi ya tatu umoja (yake, vyake n.k)
  99. -titima
  100. nuumbula— moyo
  101. waananisa— fananisha
  102. lung'ali— mwali wa moto wa ukuni unaowaka unatumika kumulika. Taa ya asili
  103. -guumbula— chimbua
  104. nuufu— nuuka
  105. -huma— toka, tokea
  106. lukalifya— mkalifya
  107. -tilivala— kuwa eusi
  108. kihalagi— kinembe
  109. mwiisukulu— mjukuu
  110. kikuku— kifaranga
  111. -iga— iga
  112. -peeng'a— peng'a
  113. wuyamba— ukorofi, utundu, utukutu
  114. wupuva— ujinga
  115. mtwa— mfalme, chifu (raisi (wa kiume))
  116. -kunama— inama chini
  117. -ang'isa— lisha (kama vile, keki, pipi, tonge, n.k)
  118. paanga— panga
  119. livega— bega
  120. ngendawusolo— aina ya nyani mkubwa ambae hupenda kuwa peke yake
  121. mtamwa— mgonjwa
  122. savani— missing
  123. lifweeni— mchicha
  124. -loonga— ongea
  125. likawo— pumbu
  126. -lamula— amua
  127. ndeembwe— tembo
  128. lituunduti— kapu kubwa lenye matundu linalotumika kubebea mizigo
  129. -guunga 2— kunenepa kwa mtu au mnyama [maana isiyo ya moja kwa moja]
  130. ku.gima— chimba (mfano shimo)
  131. -suda— zama kwenye maji
  132. mbiki— mti
  133. -lemwa— shindwa
  134. waa— shinda, chelewa
  135. -bofu— pofu
  136. -konya— chukua kidogo, tumia kidogo, toa kidogo
  137. litoono— figa
  138. niiniisa— dumisha
  139. kwipyoola
  140. paana— piga kitu kwa mguu
  141. luseese— shavu
  142. ku.duga— ishia, malizika
  143. -baanya— tongoza
  144. yuuva henga— shangazi
  145. -ilagusa
  146. -vawula— babua (kitu kwenye moto)
  147. lusagala— ukuni
  148. kuuku— babu
  149. kidilo— sangari, kidiru
  150. suma 2— sifia
  151. wunani— maisha
  152. ligooli 1— kupe
  153. kisisi— kijinga
  154. -gabaalula— lazimisha kufungua mdomo wa kitu au mnyama
  155. mtuundwa— missing
  156. vaangu— mume/mke wangu
  157. -kiina— kitendo cha ng'ombe kumpiga mtu kwa kutumia kichwa; gonga kwa kichwa
  158. -tamwa— ugua
  159. -hoomba— lipa
  160. -gaala— lewa
  161. -eengeela— elea
  162. -saamula— rushia, mwagia
  163. liteende— kitako
  164. mduma— Adriano Utenga
  165. -hapa— tanda magugu
  166. na 3— hata
  167. -lagila— onesha
  168. lubega— ufungaji wa vazi (kanga, kitenge, mgolole) begani
  169. -hiisa— iba
  170. -koola— piga yowe
  171. mtaandisi— mpelelezi
  172. -fuumbika— hifadhi moto chini ya majivu kwaajili ya matumizi ya baadae
  173. degedege ??— degedege kali
  174. mbalikila— missing
  175. liboga— boga
  176. manyi— sijui
  177. -kela— panga mahari, panga kiasi cha tozo
  178. -liinda— linda
  179. koondolo— kondoo
  180. -vega— mega tonge; kata tonge
  181. -okola— okoa
  182. kineene— kidole kidogo cha mwisho
  183. lilyeenge— kengeza.
  184. -vaga— panga shughuli au bei ya kitu
  185. lwihoosi— chozi
  186. -togota— tokota
  187. -fupi— fupi
  188. -ikuvala— jikwaa
  189. wutiitu— weusi
  190. lukeende— pengo
  191. weembe— wembe
  192. -kalibisa— karibisha
  193. mnyivaha— malaika
  194. si— ha (kikanushi cha kukanushia)
  195. pepeela— pepea
  196. -baka 1— paka
  197. machumi gatayi— arobaini
  198. neke— kisha
  199. kigudi— kiuno
  200. -luhusu— ruhusu
← →