Kihehe
Donate About Tutorials FAQ
Living Dictionaries
Kihehe
Home
Entries
About Grammar Contributors
Donate About Tutorials FAQ
Terms of Use Privacy Policy Youtube terms Google terms
Entries
  1. twaanga— twanga
  2. -hangamuka— changamka
  3. -pola— poa
  4. mnego— kata iliyotengezwa kwa maboga kwaajili ya kuchotea maji
  5. -pulika— sikia, elewa
  6. ongelesa— ongeza
  7. ku.fuufuga— 1 Weka kitu (kama vile mahindi, viazi) juu ya majivu. 2 kuipaka mikono uchafu
  8. sinyala— sinyaa
  9. mboga— mboga
  10. -oosa— nyonyesha
  11. -piluka— rudi
  12. wufuula— uchi
  13. mukiva— yatima
  14. saagila— tawala
  15. -komela— komea
  16. -pulusa 1— chomeka kamba au uzi kwenye kitu chenye tundu, mf. sindano, n.k.
  17. -fulugala— choka
  18. -mesa— otesha
  19. miluka— mimba iliyoharibika
  20. ku.dekeesa— dekeza
  21. -balulila— Fanya Kazi ya kibarua
  22. -gana— mia
  23. lubeesa— ubishi
  24. fuufwi— mchezo wa bahati na sibu
  25. nyaduundwe— figili
  26. lisaasi— risasi
  27. -puna— shinda katika mchezo wa kamari
  28. -pagata— pakata
  29. ng'aande— kande
  30. -fisa— fikisha
  31. liyowo— kelele
  32. mbuungo— homa
  33. luhaanga— mchanga
  34. -gata— vivu
  35. sila 1— susa, zira
  36. -ugi— -kali
  37. mwiina— shimo
  38. nyadoogi— mboga ya majani ya maharage
  39. -tila— fubaa; gina
  40. mkila— mkia
  41. kipondawuloongo— kifundo au tindi ya mguu
  42. -andikisa— andikisha
  43. saambisa— chovya
  44. sibiitisa— thibitisha
  45. -beesa— bisha
  46. -kwaabula— tandika fimbo
  47. -lagiisa— agaiza
  48. lipeesa— pesa
  49. -sisimu— -a baridi
  50. -kiimbisa— endesha kwa kasi, kimbiza
  51. mnyoowa— tunda pori ambalo uliwa na watu
  52. -elaanga— fuja, chafua
  53. nacheene— kweli
  54. -taambalisa— kunyoosha miguu wakati mtu akiwa ameketi
  55. wuse— unga
  56. -gatapala— kuwa mvivu
  57. muyaangu— mwenzangu
  58. -huka— osha kitu kwa kukitikisa; kutisa mayai kwa lengo la kuyageuza ili yaanguliwe.
  59. linyakalumbi— kunguru
  60. -kaga— zuia mvua
  61. -bosola— pasua
  62. -hatuka— kuwa choyo
  63. kingoona— goigoi
  64. -peeka— temea mate
  65. libalamusi— radi
  66. ku.fyaata— fyata
  67. ku.fugama— piga magoti
  68. mugaasi— mlevi
  69. mhatufu— mchoyo
  70. toondoola— chambua
  71. lutanaana— uwanda wa juu
  72. chaaka— mpini
  73. -kweega— vuta, buruza
  74. -kalaalila 2— makinika, bidiisha
  75. bahati— bahati
  76. lupeefi— mrija
  77. mgeenzi— mgeni
  78. lukomi— ziwa
  79. kinyasiingo— ufungaji wa vazi (kanga, kitende, mgolole) shingoni
  80. libada— mtego wa jiwe
  81. -hona— shona
  82. kihagi— maharage yaliyopikwa na kupondwa na kuwa kama uji.
  83. lupava— mwiko wa kupakulia mboga; kata
  84. aveene— wao
  85. -hokola— ??
  86. muugati— chumbani
  87. -kaangasa— kaza
  88. ku.gina— zidi, zidisha
  89. ng'iingo— ngozi
  90. -paasa— kwapua
  91. -ongefu— ingi
  92. pala— pale
  93. -gogola— zeeka
  94. lisiva— maziwa
  95. simunaana— nane
  96. lubali— pembeni
  97. puuga— missing
  98. ndolo— hekima, busara
  99. -fufya— chemsha kidogo mboga kwa ajili ya kuianika
  100. -teemala— kaa
  101. mwesi— mwezi
  102. chaali— mtoto mchanga
  103. ng'ambakwa— ng'ombe dume
  104. lwaangiko— boriti
  105. -pya— ungua, iva
  106. ng'onyo— funza
  107. -isulilwa— vimbiwa
  108. kimeeta— kimeta
  109. lisigitsa— sikio
  110. likuvi— nyasi zenye urefu wa kati ambazo hutumika kwa shughuli mbalimabali, kama vile kuezekea nyumba.
  111. kw.endekesa— endekeza
  112. puta— kata mimea kwa kasi
  113. mudala— mwanamke, msichana
  114. manaati— manati
  115. -kulusa— shindwa kukamata mnyama/ndege, n.k. wakati wa kuwinda
  116. wugali— ugali
  117. ng'uufi— nyusi
  118. lwaaniko— KIANIKO / ANIKO ??
  119. muswamu— mtoto wa kiume wa mtu fulani
  120. ino— sasa
  121. -fukula— fukua
  122. likaniisa— kanisa
  123. likola— konokono
  124. -nuung’iilila— nukia
  125. putula— kaptura
  126. legeesa— legeza
  127. lugeendo— safari
  128. -nyeehe— embamba
  129. litaambiko— tambiko
  130. -kong'omala— kaa
  131. -nyeehepa— kuwa embamba
  132. -keeng'eena— tengeneza matuta ya shamba
  133. msalu— ulanzi uliogemwa leo
  134. ku.biliingika— bingirika
  135. -legevala— legea
  136. mpoki— mwokozi
  137. -mihago— Mashariki
  138. -ambaala— papasa
  139. puungula— pungua
  140. lugudo— mahangaiko
  141. nziva— njiwa
  142. -olaanga— waza, fikiri
  143. daama— sebule
  144. lisoka— nguvu za kiroho/kimizimu
  145. mwiidikiso— jina lisilo rasmi la ukoo fulani ambao wana mziro mmoja
  146. -puuna— kung'uta
  147. -kwetula— kuwasha kiberiti, kukwangua ardhi kwaajili ya kutoa majani yalipo kwenye ardhi.
  148. -poka— nyang'anya
  149. lwala— jiwe la chini la kusagia
  150. -gito— fulani
  151. mseenga
  152. -avala— beba kitu begani
  153. pilula— rudisha
  154. -ilapa— weka nadhiri, apa
  155. luvaanda— fukuto, tanuru ya kufulia vyuma
  156. -lovana— lowana
  157. suuka— omba
  158. mwaandi— siku zilizopita
  159. madope— tope
  160. -palula— parua
  161. -hoonga— honga, dekeza
  162. -puva— kuwa mjinga
  163. -peeng'ula— nyanyua kitu kwa kasi na kwa wepesi zaidi
  164. livaamba— kovu
  165. kidege— ndege
  166. -teteela— tetea
  167. mfwiisa ??????????— mwanamke ambaye mwanae amefariki ???
  168. -anaangika— haribika
  169. pakuva— kwa kuwa
  170. isuusi— juzi
  171. ngedege— ngedere
  172. -sata
  173. lidaandamala— kiwambo
  174. kihaana
  175. -peeyama— inama kwa kupinda mgongo
  176. ku.bena— vuna (mf. ulezi na uwele)
  177. pi— wapi
  178. -meka— gumia
  179. -angupa— harakisha
  180. -sugisa— sukuma
  181. -badila— badili
  182. fusa— vuzi
  183. msaagila— balozi wa nyumba kumi
  184. -ofuga— osha, safisha
  185. chaana— kinda
  186. msambalawe— zambarau
  187. ling'eeng'i— swahili missing
  188. -totoma— poa, kuwa baridi, kuwa dhaifu
  189. -puunya— nyonyoa
  190. -tiimula— fumua (mfano; paa la nyumba)
  191. -kootola— laani
  192. nyaalusi— aina ya swala asiye na pembe
  193. -liga— tukana
  194. ku.fwa 1— fariki, fa
  195. -kabusa— stua; shitua
  196. lilala— sega
  197. namwaaka— mwaka huu
  198. -kakama— kaukia
  199. -kalipa— kasirika
  200. lihelu— komba (-a pombe)
← →