Kihehe
Donate About Tutorials FAQ
Living Dictionaries
Kihehe
Home
Entries
About Grammar Contributors
Donate About Tutorials FAQ
Terms of Use Privacy Policy Youtube terms Google terms
Entries
  1. -howola— punguza makali (ya kimiminika)
  2. kidudula— kiluwiluwi
  3. -tawula 1— toa
  4. kisweende— kaswende
  5. -fyeeluka— kuwa katika kipindi baada ya kujifungua (kubaki nyumbani na kadhalika)
  6. kw.agiing'asa— kupoteza njia
  7. ndee— kama
  8. mkiva— yatima
  9. wubaanga— utundu, okorofi
  10. ling'weembe— punda
  11. mwaana— mtoto
  12. ny'eengula— kata kiuno
  13. libaka— baka
  14. nyamidela— matembele
  15. -puunyuka— nyonyoka nywele
  16. balula— barua
  17. -toga— kutembea kwa kurusha mikono kwa madaha
  18. mvele 2— mlelewa
  19. wuuki— asali
  20. linyoloondwi— mnyoo
  21. -amiila— linda kitu (mf. shamba au unga ulioanikwa) ili kisiharibiwe na ndege au wanyama
  22. liinga— ngapi
  23. muuhe— pumzi
  24. -lovela— -a zamani
  25. -tuma-ligimilo— posa
  26. luhigo— jibu
  27. -samula— chana
  28. -tagalisa— tawanya
  29. -poosa— posa
  30. munyakilaambo— shujaa mdogo
  31. -woondeka— pandikiza
  32. kibotalusisi— tandu
  33. mwanakwaave— mdogo wake
  34. kahawa
  35. mtuunga— fulani
  36. mwiiliimu— Missing
  37. luhooha— udenda
  38. kikaka— Mtu mwenye sura ya kogopesha
  39. kadangadanga
  40. muna— tomba
  41. wutiinde— shida
  42. -hodesa
  43. kaangala— pombe aina ya kangara
  44. -inalyo— -ole [mfano; analo; yamekukuta, limetupata]
  45. kimnego
  46. lipindigeesi— pindigesi
  47. -sasu— chachu
  48. -puutula— piga risasi
  49. -nyaga
  50. wunwaa— ufizi
  51. -bi— baya
  52. -kupa
  53. igolo— jana
  54. -hataliisa— hatarisha
  55. -lota— fifia (mf. moto)
  56. yapa— fanya
  57. ndyaaga— kombeo
  58. wupepe— sharubu
  59. -tedesa— kumsaidia mtoto kujifunza kutembea
  60. -mila— meza
  61. -iyeena— kuwa pekee, kuwa peke (y)-ake
  62. liyeembe— embe.
  63. -lagaluka— kauka
  64. wiinya— kinyaa
  65. -vevela— pepesuka, yumba
  66. lijuma— juma
  67. kw.agika— kutundika
  68. -lelesa— tia kichefuchefu, tapisha
  69. lileki— makazi amabapo mume amefariki na kubaki mke (na watoto)
  70. mhaka— missing
  71. wona wiinya— kuwa na kinyaa
  72. kidupu— kuma
  73. ng'aani 2— tu
  74. -fyaagila— fagia
  75. likopo— kopo
  76. mbeeta— mbeta
  77. -tema 2— tawala
  78. mkwaangu— mziwanda
  79. -peefu— epesi, rahisi
  80. -totomu— vuguvugu, -a baridi
  81. -puundula— piga risasi
  82. -tumbika— 1. tundika. 2. ning'iniza
  83. machumi gadatu— thelathini
  84. mfyeele— missing
  85. bogolo— mfuko wa kwenye nguo
  86. wugulufu— kichaa
  87. -paasa— hasi
  88. detema
  89. mlegesi— kamba ya mti
  90. -pyaata— kata kwa kisu kikali
  91. ligobole— pesa
  92. -mata— ziba
  93. -gumula— chimbua
  94. -nena— kaskazini
  95. lipipa— pipa
  96. kilutema— mwewe
  97. -hunula— fungua macho kwa mshangao, toa macho nje kwa mshangao
  98. mung'ineetu— mwanamke; mama yetu
  99. -ana— lia, toa sauti [filimbi, ngoma, kengele, honi]
  100. -fuufuunya— piga karagaza
  101. -ako— kiwakilishi kimilikishi cha nafsi ya pili umoja, (wako, vyako, etc.)
  102. ndeve— glasi iliyotengenezwa kutoka kwenye boga
  103. -haaha— shangazwa
  104. kisege— mfupa
  105. -lemuka— zidi, zidisha,
  106. -piingula— fungua
  107. kingoovi— ugumu
  108. -nyeka— yeyuka
  109. ngii— nge
  110. ngone— kama
  111. kilomo— kiini
  112. mkiing'imafu— mtu mwenye kimo kizuri na mwonekano mzuri
  113. -hangalamuka— Paranganyika (Sambaratika)
  114. matinaso— mkesha
  115. lwaatuka
  116. moliimoli— pole pole
  117. booma— mji
  118. kilagilo— agizo
  119. mnyaludodi— mpumbavu
  120. -hemufu— -a kuchemka
  121. wunaangule— ulanzi uliokaa zaidi ya siku moja
  122. lwiiwuko— kumbukizi
  123. mgomwa— mwanamke aliyeolewa
  124. woogofi— uoga
  125. wufuumba— uvumba
  126. wupaadili— upadri
  127. ku.baning'asa— sogeza kitu karibu na kingine
  128. luswaambo— hatua
  129. ku.gabisa— sukuma
  130. -hooya— bembea
  131. mema— jaa
  132. -saluka— fumuka, ezuka
  133. taambika— tambika
  134. meng'elo— pua
  135. kwiila— tosha
  136. -wuyapa— tengeneza
  137. -haamila— hamia
  138. kivya— mtungi
  139. soonzo— rungu
  140. -vagula— gawa
  141. nyalupala— simba
  142. ng'onyeela— asiyependa kutoa
  143. -boomola— chanua
  144. cheeya— ubadhirifu
  145. haala
  146. ku.data— sokota
  147. nungunuungu— nungunungu
  148. dete
  149. koloboyi— kibatari
  150. -hegela— sogea
  151. minagula— maudhi
  152. litaanda 2— chanja; chanja la kupigia mahindi
  153. chaaka— hovyo
  154. komofu— funguliwa
  155. tuguutila— tokwa jasho, vuja jasho
  156. -halala— vuna
  157. uny'a— utakoma
  158. -koong'oona— kufa ganzi
  159. kisako— kisigino
  160. -iyehela— pumzika/baki tu
  161. -hohovala— huzunika
  162. lupanyagulo— mwanya
  163. palusika— at the time of
  164. -hemula— chemka
  165. sala— saa
  166. ndyaaga— kombeo
  167. sikilo
  168. mkoong'oono— njia, nyayo, liwato
  169. -kula— kua
  170. mpaadili— padri
  171. mutema— mtawala
  172. ligegwa
  173. lusuupo— pumziko
  174. mahwahwa— takataka
  175. lifuumbe— yai viza
  176. mugawo— mgao
  177. -anaangifu— -haribifu
  178. livaho— mfuko wa uzazi
  179. mhusi— mchuzi
  180. kimwiidudufi— aina ya mdudu anayependa kula majani ya mboga zinazolimwa bustanini
  181. -nanavala— be insistent
  182. niiniila— fuatilizia kwa ukaribu zaidi
  183. -ng'uuta— nung'unika
  184. ndusi— ngoma
  185. lihala— pori
  186. libangayeye— alizeti
  187. figo— figo
  188. nzogolo— jogoo
  189. lusisi— kamba ya katani
  190. -bweeta— bweka
  191. liheema— hema
  192. malabatila— viatu
  193. ku.boba— ringa, jisikia
  194. nyamuhaando
  195. taangaasa— tangaza
  196. lumwino— tunda dogo lolote (kama forosadi, fuu, kunazi).
  197. nyulula— vuta [mfano wa kitu kinachovutika, kama vile manati]
  198. ku.fiha— ficha
  199. kitungulu— kitunguu
  200. ngongolima— chunguchungu
→