Kihehe
Donate About Tutorials FAQ
Living Dictionaries
Kihehe
Home
Entries
About Grammar Contributors
Donate About Tutorials FAQ
Terms of Use Privacy Policy Youtube terms Google terms
Entries
  1. -sakamula— tafuna
  2. kina 2— kinai
  3. -fuukila— pata joto
  4. kw.eha— pusimama [kwa mvua kwa muda flani]
  5. matuunzi— mkojo
  6. -kaangala— kuwa na nguvu, kuwa imara
  7. maangala— njuga
  8. -tuunda— kojoa
  9. -viisa— wekeza
  10. mbuguma— ng'ombe jike mwenye walau mzao mmoja
  11. liswi— sauti
  12. mbumilamaganga— missing
  13. wiipa— uyoga
  14. -hudika— funga
  15. lusaluwa— uzi
  16. takiwa— takiwa
  17. nzaawo— mpendwa
  18. seeya— pasua mbao kwa kutumia msumeno wa mkono
  19. -waali— kuwa (hali, namna kitu/mtu alivyo)
  20. -iya— wapi
  21. kiheela— kibuyu
  22. -lamukila— pata nafuu (auheri)
  23. choogo— josho
  24. mnana— nane
  25. -sasama
  26. -sunyala— sujudia
  27. lugulugulu— kigelegele
  28. lifuungu— mahari
  29. -penula— penua
  30. kimuunyi— Siku.
  31. nyiigoonza— tisa
  32. tatula— tatua
  33. wuliimbo— ulimbo
  34. sagala— okota kuni
  35. seesa— shamba lisilo la matuta
  36. yaawe
  37. lugasi— shanga (za kuvaa mkononi au shingoni)
  38. -tawula 2— fumua
  39. fiwoolo— njegere
  40. -avika— funga kwa kushikiza
  41. -kopa— kopa
  42. -mwemweetela— tabasamu
  43. ligalu— vita
  44. lidako— tako
  45. lusuguni— ua la mhindi
  46. lipagala— kitawi
  47. lukuvi— makadara, nguvu, mkumbo
  48. mtowo— mtoo
  49. -nyanyagila— chechemea
  50. lweeki— kwa nini
  51. -tiing'a 2— fuka moshi, toa moshi
  52. -itwika— beba, jitwisha
  53. lipulikilo— sikio
  54. liluungulu— kipande cha ardhi/ shamba linalomilikiwa na mtu
  55. ng'uku— kuku
  56. mfyaata— mfereji wa katikati ya matako
  57. -kaka— kunywa kinywaji kwa wingi kwa mara moja
  58. kisisiina— nyenyere
  59. -nyegela— washa
  60. lusoongi— mzizi wa mmea ambao huliwa na watu
  61. kibalama
  62. -kumula— simanga
  63. nguulami— sherehe ya kumuaga binti anayeenda kuolewa
  64. milaawu— kesho
  65. -sigasa— bakisha
  66. tegula— chukua
  67. kinyunya— kinyunya
  68. saayo— tumbaku
  69. mwiipwa— mpwa
  70. -gona— lala, jilaza
  71. lipaanzi— panzi
  72. kipumi— paji la uso
  73. kikoove— kikapu kidogo (kama bakuli) cha kuchotelezea ungakutoka kwenye chungu
  74. -kiimbila— kimbia
  75. mooto— moto
  76. suma— lala (kwa wanyama kama vile ng'ombe na mbuzi)
  77. kikuluulu— kidole gumba
  78. yuuva fyaala— mama mkwe
  79. wuhulo— kupindukia, kupita kiasi
  80. ku.funa— kinai
  81. -wopa— funga [mizigo]
  82. -leeta— leta
  83. mbyo— maziwa
  84. -swaawuka— kuwa na hamu ya kula
  85. lifusi— shuzi
  86. -tobole— (a)li(ye)tobolewa
  87. msale— njaa (ya chakula)
  88. muhaladali— haradali
  89. kidoogi— kinembe, kisimi
  90. -hwaana— pengine
  91. luvalilo— namba, hesabu
  92. -egeka— egesha
  93. deena— hivi
  94. mafuva— mafua
  95. -kosa 1— kosa
  96. -gohomola— kohoa
  97. -mooga— nyoa
  98. -saala— sali
  99. -toosa— rusha kitu
  100. ng'aning'aani— upesi, harakaharaka
  101. pambele— baadaye
  102. ludibulo— upinde na mshale
  103. siliingi— shilingi
  104. -talamu— gumu, imara, madhubuti
  105. -kuusula— koboa
  106. -gelula— tenganisha
  107. -beehula— cheua
  108. -sikimafu— tulivu
  109. musipi— mshipi
  110. luwuuso— swali
  111. taandala
  112. -tagalila— tawanyika
  113. ndete
  114. -tuung'una— iva
  115. -soomela— zomea
  116. mgeendo— mwendo
  117. bakuli— bakuli
  118. mbwa— mbwa
  119. libelege— mgagi
  120. idaaha— zamani, muda uliopita
  121. mbitu— pombe iliyolala (ya jana au juzi)
  122. -tagalila— tawanyika
  123. sita— missing
  124. -kova— chuma (mboga, matunda, chai n.k)
  125. -fwiima— winda
  126. mdesi— mwongo
  127. kifu— majivu
  128. mbigili— mbigili
  129. ng'ata 1— kata
  130. ku.duulula— toa macho (mf. kushangaa kitu)
  131. lidudumisi— dudumizi
  132. -inatila— zingatia; kuwa makini
  133. kifuungo— kishikizo, kifungo
  134. -nyelegetela— Jua karibia kuzama
  135. ng'oongo— makofi; kobwe
  136. minyweele
  137. paata— menya
  138. ligoombo— gitaa
  139. heyelo
  140. litiindi— shina la (muanzi, muwa, au mhindi) ambalo halijakomaa
  141. -sokama— shika tama
  142. -kuvila— tetemeka
  143. ene— kama
  144. -satula— toa (fungua) wigo wa miiba; fumua wigo
  145. -dedela— meno kupata ganzi katokana na kula vitu vyenye uchachu.
  146. -ihuuvila— tegemea
  147. sooneka— chomeka
  148. Pamiye— jioni, wakati wa jioni
  149. vagula
  150. -ngi— -ingine
  151. msokamifu— mtu wa majonzi
  152. -papula— kunywa kimiminika cha moto, kama chai au uji
  153. wusofu— wema
  154. -oondomela— kupungua ujazo wa unga; kudidimia ardhi
  155. Litemela— Jehanam
  156. -hula— zusha
  157. kamweene— neno unalolisema kumsalimia mtu ukikutana naye kwa mara ya kwanza katika siku
  158. -geenda— safiri, tembea
  159. fataki— fataki
  160. delega— spinachi, mdewere
  161. -hopa— panga kwa kubananisha
  162. -pyuufya— pasha
  163. -sili— butu
  164. lisala— saa
  165. -doodo— dogo
  166. wulema— ulemavu
  167. pilipili— pilipili
  168. vanyaweendi— mapacha
  169. wuwuluwulu— masalia, mabaki (ya chakula)
  170. lusito— wigo wa miba
  171. -kina 1— cheza
  172. -tiitila— kuwa na shughuli nyingi
  173. -sota— zama (jua)
  174. -taana— tania
  175. -kopola— choma jicho, dunga jicho
  176. -tobofu— -a kutoboka
  177. -ny'a— kunya
  178. kinyoondwi— mfinyo
  179. mlaangusi— mlanguzi
  180. -ny'eenga— kutoroka
  181. lipaka— paka shume
  182. pegeeha— pekecha
  183. papalika— paparika
  184. kinyanyamba— mbayuwayu
  185. kiki— nini
  186. ndeenya— MDUDU ANAYEKULA MAHIND, MARA NYINGI ANAPATIKANA KATIKATI YA MHINDI AU KATIKATI YA SHINA LA MHINDI
  187. -tuumbula— tumbua
  188. mugoda— dawa
  189. -pavila— kumwambia mtu jambo bila kuficha chochote, kinagaubaga
  190. lutogo— -a ghali
  191. mhoomi— nundu (ya ng'ombe)
  192. nguunda— njiwa wa kufugwa
  193. -veleka— zaa (mimea)
  194. -amiini— amini
  195. -guluunduka— ruka
  196. kilago— mkeka
  197. apaangi— labda, pengine
  198. ngoboongo— kinyesi cha ng'ombe kilichachanganyika na maji ambacho kipo kama tope
  199. -honyoongala— chuchumaa
  200. mdele— maji yaliyochujwa kutoka kwenye maziwa yaliyogandishwa
← →