Kihehe
Donate About Tutorials FAQ
Living Dictionaries
Kihehe
Home
Entries
About Grammar Contributors
Donate About Tutorials FAQ
Terms of Use Privacy Policy Youtube terms Google terms
Entries
  1. lukoombe— Missing
  2. ku.duusuka— vimbiwa
  3. liveleko— tunda
  4. sisiina— sisimizi
  5. kitala— madhabahu ya ibada za dini za asili
  6. mbaata— swala mwenye madoamadoa
  7. simtaanda— sita
  8. wugoni— uzinzi
  9. Kihehe— lugha ya kihehe
  10. lisambatuuta— tezi
  11. -livata— kanyaga
  12. -gavasa— gawanya
  13. musilo— mwiko; haramu
  14. pifu— vumilivu, enye kujituma
  15. -gendanisa— tembea kwa haraka, kwa kasi
  16. -bumila— gonga
  17. ndolo— burasa, hekima
  18. ku.duudiila— chechemea
  19. -liila— towelea
  20. -puga— 1 puliza. 2 zima moto
  21. -pyo— -a moto (mfano, maji ya moto)
  22. waangufu— haraka
  23. -ilila— kwea
  24. ku.fuung'ilisa— fukiza, fukizia
  25. mkoga— mto
  26. kipemene— Kiuno cha ndege kinachootesha mkia
  27. -doboka— kupenda kitu
  28. nana— ishi kwa muda mrefu
  29. kipuuta— kibofu
  30. lipagale— gofu
  31. -gomwa— olewa
  32. -huungiilila— chungulia
  33. kwaa— kwaa
  34. -degepa 1— kuwa na moyo mwema
  35. malaanga— utani, masihara
  36. mbalavala— kipepeo
  37. -geleka— bandika (~chungu)
  38. -ibata— shika, kamata
  39. ndita— kunyanzi
  40. -fuukifu— 1 vuguvugu. 2 joto.
  41. -haata1— nyeesha kidogo
  42. -koombola— 1 menya. 2 komboa
  43. -bosoka— pasuka
  44. -taali— refu, mbali
  45. -pulikisa— sikiliza
  46. libata— bata
  47. -gawula— pakua chakula
  48. puu— puu
  49. kimswiilya— kicheche
  50. -doodopala— kuwa dogo
  51. miimbi— miguuni mwa shamba
  52. -luming'asa— bananisha vitu viwili au zaidi
  53. lisaala— mkuki mkubwa
  54. -tutumula— tutumua
  55. leema— kataa
  56. kimudaana— mjusi
  57. wiita— kama vile
  58. lituli— kinu
  59. -kwiikula— kupiga kwikwi
  60. luvala— 1 eneo, ukanda. 2 kwa muda.
  61. mfudu— furu
  62. -huungila— salimia
  63. luboliti— boriti
  64. wubofu— upofu
  65. nyoni— aibu
  66. -filula— chemsha ugali uliobaki usiku uliopita
  67. kiwa— kumbikumbi
  68. -nyanyula— nyanyua
  69. sabika— loweka
  70. vatika— watika
  71. -tuunga— fulani
  72. ee(na)— ndiyo
  73. lisuva— jua
  74. nyeenye— nyinyi
  75. -gobola— kuvuna/kutoa mahindi mabichi kabla hayajakauka
  76. -kaatula— totoa
  77. -loleela— linda
  78. -igisa— fundisha
  79. ndupa— unga [kimea] wa kukorogea pombe
  80. lidati— majadiliano
  81. -ambusa— sababisha
  82. Yimagava— Mungu, Muumba, Mpaji, Mgawaji
  83. muuva— muwa
  84. -tumila— tumia
  85. lihoombo— malipo
  86. -gubika— funika (mfano; kikapu, chungu, sufuria)
  87. mvina— mtu mzima
  88. lileme— tumbo, ujauzito
  89. kimwaalununu— aina ya ndege mwenye mdomo mrefu
  90. -puuta— puliza kwenye kitu fulani
  91. mlagusi— mpiga ramli
  92. kiganiso— kipimo
  93. -wona— ona
  94. -lemasa— bakiza
  95. -inamila— shirikisha kinywaji
  96. siingano— 1.sindano ya kushonea nguo 2. sindano ya kutibia wagonjwa
  97. -kolela— shika
  98. likende— nafasi inayoachwa baada ya jino kun'golewa
  99. -seela— kuwa na ufahamu
  100. lukeelo— furaha
  101. fwalugobe— kobe
  102. -luumba— shukuru
  103. -swaata— kunywa kinywaji kwa fundo kubwa
  104. uyu— huyu
  105. ku.fihama— jificha
  106. awu— au
  107. veleenga— make it round and smooth
  108. ndyamugoongo— ugonjwa wa minyoo
  109. lipeela— pera
  110. luhaagi— chale
  111. neene— mimi
  112. msukwa— mchachu
  113. -gopa— low
  114. lilolo
  115. sekeseke— chekeche
  116. lugosi— ugonjwa wa sikio
  117. -iguta— shiba
  118. lisina— shina
  119. malata— mende
  120. ku.cha— cha, pambazuka
  121. -eleelula— 1 kumimina punje kwa kurudiarudia ili kuzitoa takataka kwa upepo. 2 kuibua kitu kilichokuwa kimezama ndani ya maji
  122. -angula— chuma (mf. tunda au maharage)
  123. wutalo— umbali
  124. nyaata 2— mvua za rasharasha
  125. li— kuwa
  126. -laalula— fungulia mifugo (~ng'ombe, mbuzi) kwenda malishoni
  127. -tata— kaba, zuia
  128. -huguvala— kuwa na mashaka au hofu, uoga, n.k
  129. -itaakila— gombana
  130. lidupa— dawa ya kunyunyizia kwenye nafaka kama mahindi au maharage ili yasishambuliwe na wadudu.
  131. -luundika— rundika
  132. nyi— dunia
  133. -memena— tafuna kitu kigumu kama vile mahindi ya kukaanga au jiwe; mumunya.
  134. wone— kama, ikitokea
  135. -dofola— kuanguka kwa tone/matone ya maji au ya mvua
  136. mahwahwa— takataka
  137. -vala 1— assail
  138. wulesi— ulezi
  139. iteende— chini ya (kitu)
  140. -pinya— funga kanga au kitenge kiunoni
  141. litaawa— jina
  142. ng'enyaanga— lainisha, sagasaga
  143. -bofoka— pofuka
  144. -igubadula— jikwaa
  145. tayi— nne
  146. jaadi— asili, tamaduni
  147. -minya— minya
  148. nuusa— nusa
  149. chuula— chura
  150. guduliya— gudulia
  151. pugusa— pukuchua
  152. mwaayuva— mwanamke
  153. -andaaya— andaa
  154. kifugo— chungu cha kupikia ugali (sufuria ya udongo)
  155. kilole— kioo
  156. -nyunya— zizima
  157. -bahatika— bahatika
  158. lwidikilo— mwitikio
  159. kuundyo— kuume, upande wa kulia
  160. -koong'asa— kusanyisha
  161. -miisa— tawanya mbegu za mazao kama vile ulezi
  162. paang'ula— wanayama kubomoa au kuharibu zizi na kutoka
  163. kiduunda— kilima, mlima
  164. -ng'ooma— kodolea mtu macho
  165. -tuung'unu— iva
  166. -tiitupa— kuwa eusi
  167. lufuumbwi— kipeke chekundu cha mti cha kuchezea kwenye mchanga
  168. ku.bahatisa— bahatisha
  169. nyasaata— missing
  170. -kenyela— onya
  171. hiilo— sana
  172. -higa 2— amua kesi
  173. -laawuka— 1. damka. 2 kupata kifungua kinywa
  174. -fuuva— elimisha
  175. gaagulo— gauni
  176. -fuungula— fungua [ kama chupa]
  177. kikooko— mnyama
  178. -buuma— unguruma
  179. kw.egamana— egamana
  180. mtaamba— haradani
  181. -bita— enda
  182. -lyeewula— dhulumu
  183. kitoofu— kiazi mviringo au mbatata
  184. -kaanga— chezea, sumbua, tania
  185. -kanya— kanya
  186. liligo— tusi
  187. luvilo— mbio
  188. kitekenya— funza
  189. -puunza— onjesha kidogo
  190. -husika— husika
  191. -hiliva— piga lipu
  192. -ambulila— ambulia
  193. kumbi— kwa sababu
  194. weewuli— salamu ya mara ya pili kwa mtu ambaye mlikuwa mmeshaonana
  195. siika— zuia.
  196. luveesi— chuchu
  197. fuuka— Magharibi
  198. -angika— kupanga boriti juu ya paa la nyumba kwaajili ya kuezeka
  199. ndunwi— mjusi
  200. -ahamula— piga miayo
← →