Kihehe
Donate About Tutorials FAQ
Living Dictionaries
Kihehe
Home
Entries
About Grammar Contributors
Donate About Tutorials FAQ
Terms of Use Privacy Policy Youtube terms Google terms
Entries
  1. -lima— lima
  2. lusimo— hadithi
  3. muhaano— mwezi wa 11
  4. nyong'onyela— nyong'onyea
  5. toonya— nyesha
  6. ligafya— makovu kwenye viganja yanayosababishwa na msuguano wa mpini wa jembe na viganja wakati wa kulima
  7. lwiifwi— kinyonga
  8. tulo— usingizi
  9. -kelula— chuja
  10. weelu— weupe
  11. sengele— pundamilia
  12. -patila
  13. mhaasa— ndugu wa damu wa jinsia tofauti
  14. ng'oo— kamwe
  15. mlaangala— zeruzeru
  16. doogi— maharage
  17. -nyoonga— nyonga
  18. -nyaanya— choma
  19. -saava— sokota kwa kamba
  20. miila— mila
  21. -baagula— bagua, tenganisha
  22. -ng'waang'ula— kwangua
  23. -nyaata 1— nyata, enda polepole
  24. likolo— kondoo
  25. -iyaamiinisa— jiaminisha
  26. tova simu— piga simu
  27. ke???
  28. king'oole— alama za urembo zinazokatwa kwenye mashavu ya wanawake
  29. mihye— jioni
  30. lupuko— fimbo yenye panda inayotumika kukorogea maziwa/kihagi
  31. -ng'aala 2— ng'aa
  32. -anika— anika
  33. -ingisa— ingiza
  34. machumi gahaanu— hamsini
  35. livindi— bonde
  36. -tana— kutokuwa
  37. -soona— onesha (kwa kidole)
  38. ngadwi— kaa/ngadu
  39. saka— tafuta, hitaji
  40. sopeka— suruali
  41. -vilasa— kunja
  42. chuumbi— kibiongo
  43. -heeha— teta
  44. tegeeha— tegea, tega
  45. nyamuhaaka— mnavu
  46. wuvaso— sehemu ya kulala
  47. -koong'ana— kusanyika
  48. yuuva— mama; mwanamke wa makamu
  49. ku.donya— lenga
  50. -seenga 2— jenga
  51. mene— mbuzi
  52. molaamola— pole pole
  53. -pulusa 2— poteza kitu, mf. mnyama/ndege ambaye ulikuwa umeshamkamata
  54. ngedege— ngedere
  55. -saawula— fumua (mpira)
  56. Kinyika— eneo oevu
  57. liteneke— debe
  58. -pwiitula— puliza moto
  59. -ihesiga— cheza
  60. sambi— ili
  61. -paambanula— pambanua
  62. veemba— lia
  63. kinyuungu— kipande kidogo cha ardhi karibu na mto ambacho mara nyingi hutumika kupanda mboga za majani msimu wa kiangazi; kinyungu
  64. mumweene— kweli
  65. Mukamaanyi— Mwezi wa Tano
  66. nyamuhenge— mvua za upepo au mua za vuli
  67. -ong'a— nyonya
  68. lihaamba— jani
  69. kilyo— chakula
  70. luteefu— mkeka
  71. kidakulo— chakula ambacho kipo tayari kuliwa
  72. -weenda— penda
  73. kiveelo— paja
  74. dee— kama hivi
  75. -ny'agaaha— charaza fimbo
  76. lidodi— mhindi mbichi
  77. kw.eleluka— ibuka
  78. -loveka— loweka
  79. ligulilo— gulio
  80. kiba— afadhali
  81. -heka— cheka
  82. ku.bibiindala— kunjamana
  83. mtwaasi— mume mwenza
  84. ipa— hapa
  85. muvaango— mwanzo
  86. -igiima— Kunya kwa kujikamua
  87. ng'uufi— nyusi
  88. luduungwi— kitovu
  89. mugati— ndani
  90. -egala 1— zaa, jifungua
  91. nzaasi— dharau, kuto jali
  92. kinyaawu— mtoto wa paka; kipaka
  93. -keepuka— pungua
  94. pawuka— pauka
  95. papika— tia kiraka
  96. lileengo— lengo
  97. sogola— elekea
  98. chaala— kidole
  99. ng'ata— kata (ya kubebea)
  100. ligimilo— jembe
  101. -koloma— koroma
  102. peta— chonga
  103. lunaanzi— kiongozi mdogo kuliko chifu
  104. -fiihula— unhidden, expose
  105. kinyele— faraghani; kwa siri
  106. mnyalukolo— ndugu katika ukoo
  107. mwaasaaki— shukrani kwa usaidizi
  108. mfuko— mfuko
  109. wulime— sehemu iliyolimwa
  110. -hoongola— chonga
  111. -gula— nunua
  112. -nuung'a— nuka
  113. -kima— chomeka (mkuki aridhini)
  114. -kookoola— okoteza
  115. sugu— missing
  116. simya— zima
  117. -ugipa— kuwa na makali
  118. mahoohi— udenda
  119. -haagula— chagua
  120. -anaanga— haribu
  121. -angisa— kutokutoa kitu chote, kusababisha kitu kisitosheleze
  122. -komola 3— chimba mashimo madogo ya kupanda mbegu
  123. siingo— shingo
  124. -lola— angalia kitu
  125. luwuungo— harusi, sherehe
  126. mbeeta— 1 koo la chakula. 2 koo la hewa
  127. -taanila— tania
  128. mumbali— pembezoni, kandokando
  129. -tuudika— pasuka
  130. kw.endelesa— endeleza
  131. suka— suka nywele
  132. saambi— dhambi
  133. selegeti— shanga (zivaliwazo kiunoni)
  134. kipigo— kazi, jukumu, shughuli
  135. -goongoola— bembeleza
  136. king’ina— tikisa, tikisika
  137. -hiinza— chinja
  138. lunyoongo— nyongo
  139. -bibiinda— pinda
  140. sulula— vuja, tokwa na [mfano, jasho]
  141. -dutu— nene
  142. kikupi— ndezi
  143. -gati 2— katikati
  144. kigoda— kiti
  145. -fuluta— penya
  146. mbemeneenge— kodi
  147. -pwiinda— piga kwa kichwa
  148. ligana— mia
  149. -pachika— pachika
  150. -saasika— puuza
  151. -eepuka— epuka
  152. siifa— sifa
  153. luhala— akili
  154. mmisonaali— mmishonari
  155. fwiila— swira, firi
  156. -suumbisa— sukuma
  157. pamwi— pamoja
  158. -gavila— gawia
  159. -dodepa— lowana
  160. mtima— ini
  161. wubaaga— uji
  162. ng'ela— kidonda kinachosababishwa na kuvu ya miguu
  163. -komola 2— fungua komeo
  164. -deenya— vunja
  165. lifugamilo— goti
  166. ku.fyoondoga— kanyaga vibaya
  167. lukaanzi— ukuta
  168. -dibala— kuwa kiziwi
  169. -fuuduka— chafuka kwa vumbi, unga au poda
  170. -kukulisa
  171. mvaha— mzee, mzazi
  172. lisaaho— sugu, sagamba
  173. -kalaanga— kaanga
  174. nyaasi— nzi
  175. -meeta— kulia kwa mbuzi au kondoo
  176. -pugama— kojoa
  177. -ng'alavaadika— ng'ara
  178. bole— kama
  179. soomba 1— samaki
  180. kinyandiilo— chungu cha kupakulia mboga (hutumika kama bakuli ya udongo)
  181. -wiila— ongeza zaidi
  182. ka!— hutumika kuonesha mshangao
  183. fwa— kifo
  184. -luluumbuka— kua haraka
  185. siindiilila— shindilia
  186. -luumbilisa— fititisha watu au ng'ombe wapigane
  187. liwono— mti wa nyonyo
  188. -sondogola— zodoa; dhihaki
  189. lubiki— fimbo
  190. wudesi— uongo
  191. ngudupa— kunguni
  192. chegefu— kwikwi
  193. -kali— kali
  194. -kulula— jua, fahamu
  195. -nyanyamila— chuchumia
  196. -dovela— doea
  197. -funula— funua
  198. siinziila— sinzia
  199. lupeke— punje
  200. -wuusa— uliza
← →