ligafya
Phonetic
[liɠáfya]
Swahili: Translation
makovu kwenye viganja yanayosababishwa na msuguano wa mpini wa jembe na viganja wakati wa kulima
English: Translation
a callus on palms due to friction during cultivating
Part of Speech
noun
Noun Class
[li-/ma-]