Kihehe
Donate About Tutorials FAQ
Living Dictionaries
Kihehe
Home
Entries
About Grammar Contributors
Donate About Tutorials FAQ
Terms of Use Privacy Policy Youtube terms Google terms
Entries
  1. nyelegeenda— tekenya
  2. kisima— kisima
  3. -piisa— unguza
  4. -asimya— azima
  5. -inula— nyanyua
  6. -anukila— pokea
  7. -imya— simamisha
  8. soogo— mbu
  9. -idika— itika
  10. buuli— samadi (kinyesi cha ng'ombe kilicho kauka ambacho hutumika kama samadi)
  11. kigaanza— kiganja
  12. -peeluka— koma hedhi
  13. -awo— kiwakilishi kimilikishi cha nafsi ya tatu uwingi
  14. -goonza— kuunja
  15. asaabu— adhabu
  16. -bugila— bugia
  17. -ihagula— pumzisha kichwa juu ya kitu fulani kamą vile kwenye mto wa kulalia
  18. lugaanga— udongo
  19. teemba— tetea
  20. fufusi— dumuzi
  21. kiluundo— kundi la kitu kama kuni, mahindi, mchanga
  22. ngoombwe— panya-pori ambaye ni mkubwa kuliko "nyagala"
  23. mnyagati— mke (mmiliki wa chumba)
  24. -hata— tia kitu kwenye (mboga)
  25. -tataaluka— fumuka
  26. ku.deta— danganya
  27. -fyaatula— fyatua (tofali), piga/fyatua (risasi)
  28. -higa 1— jibu, itika
  29. gawuni— gauni
  30. lunyoove— ukucha
  31. -tuupilisa— pamba (mtu) sifa
  32. -komi— kubwa
  33. mlyaango— mlango
  34. -ita— mwaga
  35. likiing'a— paa la nyumba
  36. litoongo— pumbu
  37. liino— jino
  38. -haama— hama
  39. -hiiva— bembembeleza (mf. mtoto kwa kumchekesha)
  40. siigi— miiba inayoshika kwenye nguo
  41. -elu— eupe
  42. lunywinywiita
  43. lifufu— wingu
  44. -huguvika— kuwekwa katika hali ya mfadhaiko.
  45. vili— mbili
  46. miitu— muujiza.
  47. kipiinga— kundi la wanyama
  48. mtwe— kichwa
  49. -vala 2— waka
  50. -mamula— bomoa, vunja
  51. -kola 2— pitia
  52. ludela— mzizi
  53. pamilaawu— 1 asubuhi. 2 wakati wa asubuhi
  54. liifuunza— chipukizi la mwanzi wa ulanzi
  55. -fwaaha— sumbuka
  56. msasaati— missing
  57. -golola— nyosha
  58. kila— kila
  59. lusuungu— huruma, upendo
  60. musale— njaa
  61. ngubi— nguruwe
  62. -hamaasisa— hamasisha
  63. lukaani— jambo
  64. noongwa— kesi
  65. poongo— dume la mbuzi
  66. -degepa 2— lowa
  67. mato— aina ya swala, mdogo kidogo kuliko ng'oligota
  68. muyago— mwenzako/rafiki yako
  69. -gadula— kutoa (udongo wa mfinyanzi)
  70. likuunzu— kondoo dume
  71. -ng'atuka— ng'atuka
  72. muhiisi— mwizi
  73. -konyesa— konyeza, kopesa
  74. neeng'ino— leo
  75. o-oote— o-ote
  76. -fwiisa— fiwa, poteza ndugu au jamaa kwa kifo
  77. ng'aala 1— baridi, upepo
  78. wuhiisi— wizi
  79. -swaamba— tembea kwa hatua ndefu
  80. chaayi— chai
  81. wusuulya— kiota
  82. luguule— mavi ya ng'ombe yaliyokauka ambayo huwa kwenye maeneo ya malisho
  83. kisuungula— sungura
  84. -haalula— saga
  85. ku.gagaadila— ng'ang'ania
  86. ng'adupa— papasi
  87. -haapa— chambua (mboga)
  88. kidoondo— mboo
  89. -goombola— saza, bakisha
  90. fwiivi— mvi
  91. mkologo— brewery
  92. -haala 1— kurithi mke wa ndugu (mf. kaka)
  93. kaangi— tena
  94. chemeembe— missing
  95. ku.fuumbatila— kunja ngumi, shikilia kitu kwa kuzungushia kiganja
  96. peeta— pepeta
  97. lufwi— mvi
  98. masuusi— majuzi
  99. kwiivala— nje
  100. wuhomeka— udhaifu utokanao na kuugua muda mrefu
  101. pawucha— keshokutwa
  102. likaambaakwa— dume la ng'ombe
  103. -kaana— kataa
  104. paasi— chini
  105. -tiitu— eusi, giza
  106. daanda— damu
  107. wuumi— uzima
  108. -ng'alika— mulika
  109. -mong'onyola— momonyoa
  110. mki myaangu— mke mwenza
  111. sisinisa— fumba macho
  112. -vawa— umwa
  113. -kamula— kamua
  114. lwiiha— ladha
  115. -liinganisa— linganisha
  116. mbegalo— uzao
  117. magulumeelu— majani ya chinise
  118. pilusa— rudisha
  119. ku.fuvalila— chelewa
  120. -hegama— egama
  121. luluundi— sehemu ya mguu kutoka kwenye goti mpaka kwenye kifundo cha mguu
  122. litaanamasi— kiungulia
  123. -haka— swaga
  124. -lagasa— kausha
  125. mnaala— teke
  126. -badiilisa— badili, badilisha
  127. heenzi— kosa, kasoro, ovu, hatia
  128. -vaambila
  129. kimsaluleenga— buibui
  130. -diindula— fungua
  131. ludeeng'u— bandama
  132. ku.fuva 1— fua
  133. -saanga— 1 songa. 2 tania; danganya
  134. -eki— ~a nini
  135. kibang'a— kipara
  136. wuboofu— ubovu
  137. -alamila— atamia
  138. vaanga 1— anza
  139. -dimula— twanga mahindi ya kupikia pombe
  140. -eengula— engua
  141. mswangalala— mkundu
  142. -homa— 1 rusha (jiwe, mkuki). 2 choma (sindano, mwiba, mkuki, kisu)
  143. -laangula— kuboha
  144. -ikala— kaa [sehemu], ishi
  145. lisaambi— chakavu
  146. likwaapa— kwapa
  147. -luundana— kusanyika
  148. kitulo— MISSING
  149. -biinduka— pinduka
  150. ku.fuwa— amini
  151. nyava— ulezi pori
  152. -amula 2— kula mabua makavu ya mahindi shambani (inajihusisha na mifugo tu, kama vile ng'ombe)
  153. -legeela— legea
  154. kihiinda— ngozi laini ya kukingia unga wakati nafaka zinasagwa kwenye jiwe la kusagia
  155. -fuulika— kuwa fukara
  156. kibotoliina— bomba la kuingizia dawa mkunduni
  157. liduudu— songwe
  158. -nyegeeha— tekenya
  159. ulwa— ?????
  160. -dinila— jaza kitu kamą chupa au gunia kwa kulishindilia (vitu kama udongo, mchanga, viazi, unga, nk)
  161. liwaange— utumbo mpana uliotiwa damu ndani yake na kuchemshwa
  162. musigo— mzigo
  163. baaho— hapohapo
  164. veeve— wewe
  165. nguta— (tangu), kwa kua
  166. -pyuupa— pata moto
  167. ngodovi— kambare
  168. kimaage— kisu
  169. sanzawuka— missing
  170. -soola— zoa
  171. -wuulila— kiri, tubu, kubali kosa
  172. muunu— mtu
  173. wupiina— ufukara
  174. -pituka— geuka
  175. liteenga— tenga
  176. ku.chaachaafya— nyanyasa
  177. -gelanisa— kadiria
  178. -asa— washa
  179. -tonesa
  180. -ima— simama
  181. paadaaha— zamani
  182. -guda— hangaiaka
  183. mgove— ushirika katika kazi mfano kulima au kujenga
  184. -hanana— chujika matone ya maji kwenye nguo, au mwili
  185. choowo— choo
  186. nzoka— 1 nyoka. 2 michango
  187. kilema— kilema
  188. naambi— hata kama
  189. -geendela— tembelea
  190. kibibili— gunzi
  191. mtaambisi— kuhani
  192. lugaluso— harusi
  193. chaanga— kaburi
  194. ku.doda— 1 bana. 2 bidhaa kutokuuzika kutokana na kukosa wateja
  195. lugegeni— mchwa
  196. mwanakweetu— mdogo wangu/mgodo wetu
  197. lipuuma— nyani
  198. nyaago— jiwe la kusagia
  199. linyugwi— nyigu
  200. daada fyaala— baba mkwe
← →