kihiinda

Swahili: Translation
ngozi laini ya kukingia unga wakati nafaka zinasagwa kwenye jiwe la kusagia
English: Translation
soft hide used to collect flour as cereals are crushed against grinding stones
noun
Noun Class
[ki-/fi]