Kihehe
Donate About Tutorials FAQ
Living Dictionaries
Kihehe
Home
Entries
About Grammar Contributors
Donate About Tutorials FAQ
Terms of Use Privacy Policy Youtube terms Google terms
Entries
  1. likoombolelo— MISSING
  2. -toboka— toboka
  3. -senyeemba— kimbia kwa hatua fupifupi
  4. wunyawiingi— uhamisho
  5. -isaava— kuvaa
  6. -nyugula— kata kitu kama kamba kwa kuvuta
  7. ku.fuunza— kuchenji
  8. mwiino— chumvi
  9. -gaafu— konda
  10. kituumbikilo— kitundikio
  11. -kemeela— ita, itwa
  12. ndengeela
  13. diindisa
  14. linani— tatizo
  15. -duugifu— butu
  16. falugugu
  17. giila— hila
  18. kipaata— utapiamulo
  19. -ala— kunjua viganja
  20. -dodi— bichi
  21. peemba— washa moto kwa kutumia kaa la moto
  22. kitabu— kitabu
  23. mafi— mavi
  24. -teleenuka— teleza
  25. likundu— mkundu
  26. Mnyamweesi— Mnyamwezi
  27. -ipula— ipua
  28. kigulu— kichuguu
  29. muhweehwe— uoga
  30. -inuka— inuka
  31. -lutila— 1. pita 2. zidi
  32. kitangula— kikapu
  33. nyeengo— mundu
  34. wugogolo— uzee
  35. kipagalo— mfuniko au kofia ya ghala la nafaka
  36. wuheemba— utumwa
  37. ku.fuva 2— dharau
  38. -wuluka— chumika
  39. galama— gharama
  40. mkwaamisi— mvulana, kijana
  41. mweenacho— mmiliki
  42. masabaangwa— maji yenye tope
  43. -dalika— tega kitendawili
  44. lulagi— agizo, amri
  45. -haava— chelewa; kawia.
  46. luwa— mchwa mdogo
  47. kinyuungu— kinyungu
  48. -haanga— changa
  49. -liimba— vuta
  50. -enyu— kiwakilishi kimilikishi cha nafsi ya pili uwingi
  51. bila— pasipo; bila
  52. -kuumbing'ana— kunja uso
  53. Mpubutu— mwezi wa sita
  54. -diinda— funga
  55. lisoli— nyasi
  56. -kaanila— katalia, zuia
  57. ku.dutuva— nenepa
  58. lupono— nyonyo
  59. -ilaga— aga
  60. mboonge— mnofu
  61. wuloongolo— mbele ya
  62. liteendegu— tendegu
  63. ng'i— ulimwengu
  64. -kuuta— piga kelele kuashiria uchungu au raha
  65. -kama— kamua
  66. -hoosa— fikiri; waza
  67. mtegula— muoaji
  68. -kwaama— kwama
  69. nyamwiru
  70. wulwaatufu— [urwatukaji] maybe
  71. -lova— vua
  72. -yeyuusa— yeyusha
  73. mbilima— elfu
  74. ulo— that
  75. mloongo— ubini
  76. -delemulila— part (hair), furrow (field)
  77. -kiing'iina— tengeneza sauti ya kishindo kwa kutembea
  78. mbeva— panya
  79. -keena— chanyata, kata
  80. polodeka— ingia ndani kwa kasi bila kusimama
  81. heka— ekari
  82. -tiita— kaba koo
  83. -simula
  84. -kosa— washa moto
  85. -dibuka— ruka
  86. lukolo— udugu, ukoo
  87. -baanda— kunja (nguo)
  88. -badaalula— kutoa mnyama kutoka kwenye mtego
  89. muliing'ano— ulingano
  90. Lusila— kamba ya kitovu ambabayo mtoto huzaliwa nayo na hukatika baada ya wiki moja
  91. lufiingano— agano
  92. lwiisa— giza
  93. fyefye
  94. mloleesi— mtunzaji
  95. mgaamba— mwamba wa nyumba
  96. lupetupetu— kideri
  97. msabe
  98. -viipa— kasirika
  99. maambaga— kifua
  100. ku.fuga— fuga
  101. nzivililo— methali
  102. -soongesa— fitinisha au chonganisha umbwa wapate hasira
  103. -seembula— kata majani katika uwanja wa nyumba kwa kutumia jembe
  104. kipapiko— kiraka
  105. -simila— kupanda mbegu kwa kutumia kisigino
  106. kitungwi— umande
  107. mvili— mwili
  108. -keepa— pungua
  109. -hema— hema
  110. mtifyo— mkundu
  111. ng'uung'uni— kunguni
  112. lihaanyi— kapu kubwa lenye matundu linalotumika kubebea mizigo
  113. luwuumba— pew,
  114. lipeembo— fundo
  115. pede— hivi
  116. lisingiti— Kizingiti, fremu
  117. -soovela— zoea
  118. liwoko— mkono
  119. -fikwa— athiriwa
  120. vambula— chuna ngozi (-a mnyama)
  121. mwiifwa— mwiba
  122. mlomo— mdomo
  123. kinuusa— kidevu
  124. dada— baba
  125. -wola— oza
  126. -pala— parua
  127. -senyeembala— work to fatigue
  128. -lava— angalia
  129. lingoogo— karanga
  130. -hwa— shinda
  131. -hoodesa— piga hodi; bisha hodi
  132. mugoha— mkuki
  133. muvaamba— tiny brown ant
  134. -guundula— 1 gundua. 2 vumbua
  135. wikalo— makazi
  136. ku.bibiindika— kunjika, pindika
  137. -lagala— kauka
  138. pugula— missing
  139. vanyigendo— wafuasi
  140. msungu— mzungu
  141. yaga— potea
  142. naani— nani?
  143. kisaka— kichaka
  144. -matula— zibua
  145. ku.funika— funika
  146. -helusa— chemsha
  147. pilima— zunguka
  148. mukami— mtumishi
  149. sakila [check]— missing
  150. -hweeleelela— chelewa
  151. -boofu— bovu
  152. kuung'igi— upande wa kushoto
  153. huufu— isiyo na ladha
  154. -pelapeela— vutiwa
  155. -keela— furahi, furahia
  156. kw.enga— kupika pombe
  157. mveengi— mzambarau
  158. kiinge— njaa (janga la kukosa chakula)
  159. ku.bofola— pofuka
  160. -cheelewa— chelewa
  161. wuhomeng'asa— ufitini, uchonganishi
  162. lideeni— deni
  163. ligooli 2— goli
  164. kuwutalo— mbele
  165. lufyaagilo— mfagio/ fagio
  166. kw.epa— kukwepa
  167. -tesa— umiza
  168. -bada— nasa kwa mtego wa jiwe
  169. funo— swala mwekundu
  170. wusugu— werevu
  171. ndeede— senene
  172. -hangayika— hangaika
  173. -woonza— onja
  174. kigubi— mtoto wa nguruwe, kinguruwe.
  175. ng'aani 1— habari (mambo), rejelea lukaani
  176. matata— 1 ugomv. 2 uchokozi.
  177. -elupa— kuwa eupe
  178. -gubula— funua
  179. lisebele— mhindi
  180. -ny'eesa— piga
  181. -haanza— changanya vitu viwili au zaidi
  182. mugogolo— mzee
  183. ligulu— mguu
  184. mgoongo— mgongo
  185. -koote— twaa
  186. -guluka— kuwa kichaa
  187. -pya— pya
  188. kihaang'a— kikapu
  189. -penama— benuka
  190. -hudula— fungua
  191. -eheela— pumua
  192. -tava— fuma, suka
  193. -koma— koma
  194. sopwi— kitendawili
  195. king'omong'omo— kinyago
  196. lipaanga— panga
  197. -figiiha— fikicha
  198. -huwuula— chuna kamba
  199. -eenesa— eneza
  200. wuvafi— maumivu
← →