Kihehe
Donate About Tutorials FAQ
Living Dictionaries
Kihehe
Home
Entries
About Grammar Contributors
Donate About Tutorials FAQ
Terms of Use Privacy Policy Youtube terms Google terms
Entries
  1. -ipyeega— jisikia; jiachia
  2. -hesa— ondosha
  3. wuwuya— stadi, -bingwa, mahiri, -enye ujuzi
  4. maama— mkubwa, ndugu mkubwa (kaka au dada mkubwa)
  5. -tuunala— kuwa shwari
  6. wuny'a— uongo mkubwa (mwingi)
  7. -luma— ng'ata, uma
  8. lukuunde— kunde
  9. -lovela— lowea
  10. lunyuungu— mbegu za maboga
  11. wukafu— ukavu
  12. -hoongesa— 1. Omba msamaha. 2. Shukuru
  13. wugiimbi— pombe
  14. tova kula— piga kura
  15. luheko— kicheko
  16. mteela— mwiko wa kupikia
  17. -datu— tatu
  18. likoombo— shimo
  19. luswaale— mavi ya ng'ombe
  20. hoongela— afadhali
  21. -alaala— papasa, tafuta kwa kupapasa
  22. ku.deva— piga ngwara
  23. -gwiila— angukia
  24. lififi— fisi
  25. ku.fyoonya— sonya, fyonya
  26. muhiinza— msichana
  27. lusiku— siku nyingine
  28. lisiiya— punye
  29. -kuumba— kumba, zoa
  30. -basuka— pasuka
  31. pawuliilo— hori
  32. -lya— la
  33. -haatula— fumua, chana (nguo, kitambaa)
  34. -endeelela— endelea
  35. -laambalika— laza
  36. -kootoka— laanika/ pata laana
  37. ku.fula— kujamba
  38. siindila— subiri
  39. -fyaangula— pangusa
  40. kiloofi— mto
  41. sila 2— isha, malizika
  42. kinaanda— kinanda
  43. paanza— tenga mtoto miguuni kwa ajili ya kujisaidia
  44. lilaakali— hasira
  45. kumiiho— uso
  46. -kuula— ng'oa
  47. sima— zima
  48. -loongelela— semelea
  49. wupolo
  50. wusu— paji la uso
  51. lipiko— bawa/ubawa
  52. noonge— tonge
  53. waahe— upupu
  54. -anuka— chukua
  55. -ika— shuka
  56. supa— chupa
  57. -pagala— fanya kazi (kutafuta pesa)
  58. -tega— tega
  59. taabu— tabu
  60. simbilisi— simbilisi
  61. sweno— kisha, baada ya hapo
  62. be— we
  63. lipupu— swahili missing
  64. -vaganisa— bashiri, kadiria
  65. haa— haa
  66. mukoong'ano— mkusanyiko
  67. lilibisi— Kifafa
  68. wunono— utamu
  69. -dweega— pigwa
  70. kiima— paja
  71. Muuhe Mweelu— Roho Mtakatifu
  72. wufwelefweenzi— nywele za mhindi
  73. -daaluka— panua mguu
  74. -tyasamula— piga chafya
  75. -imba— 1. imba 2. soma [kitabu]
  76. -baka 2— kukodi(sha) ardhi
  77. -gusa— uza
  78. seenga 1— ng'ombe
  79. -gela— jaribu
  80. luhelo— ungo
  81. -ivavala— try to do sth
  82. -pona— pona
  83. -sika 2— kusini
  84. -fyuula— noa
  85. nyadikwa— mbegu
  86. balali— tambarare
  87. -soonya— donoa
  88. kingaamba— kiazi kitamu
  89. -satila— wiga kwa kutumia miiba
  90. -nyaalaluka— zinduka (kwa mimea), mmea kuanza kupata auheni kutoka kwenye kunyauka
  91. lituuyi— bundi
  92. kitele— chungu cha kugandishia maziwa
  93. ligwiingwi— jongoo
  94. siindika— peleka
  95. kiluvatwi— upwaju [ndege]
  96. -wuya— rudi nyumbani
  97. -kola 1— kolea
  98. -hooha— tokwa udenda
  99. -fukila— fukia
  100. sahaani— sahani
  101. musaawula— ??
  102. kisoonelo— missing
  103. -alula— 1 totoa (yai). 2. chanua, toa maua
  104. kigolya— gegedu, nyama ya ngozi iliyochemshwa
  105. Mutaanata— mwezi wa 6
  106. sulubisa— surubisha
  107. libadikilo— majani ya kwanza ya mbegu
  108. lijoki— nira
  109. -topola— chipua
  110. -nona— kunawiri, kuwa na ladha nzuri
  111. -koonga— bembeleza
  112. -fwaala— vaa
  113. beela— kiwakilishi kinachotumika kumuelekeza mtu kamą rafiki
  114. -heegesa— sogeza
  115. -idegeela— jithibitishia, jionea
  116. mola— taratibu
  117. lutuba— rutuba
  118. -nofu— zuri, zima
  119. -salula— fumua (mf. nyumba, mpira, uzi)
  120. -keluka— pata kiu, kuwa na kia
  121. -peleeluka— peperuka
  122. mdibafu— kiziwi
  123. lulimi— ulimi
  124. mutelesi— mpishi
  125. -angila— pelea, kitu au vitu kutojitosheleza
  126. -puka— koroga mboga kwa kuzungusha mwiko (lupuko)
  127. -kamiilisa— kamilisha
  128. -nuung'ila— nukia
  129. livanivani— kichoma-nguo, kishona-nguo
  130. va— (ku)wa
  131. nuusa— ndevu
  132. lumyaango— ilimi wa ng'ombe
  133. -lekana— achana
  134. wosoola— ubongo
  135. -tupa— umka
  136. -puguuha— futa
  137. -fwiika— valisha
  138. -guunga 1— jikinga kwenye kibanda au kwenye kivuli ili kujilinda na mvua au jua kali
  139. lukoombo— kashimo kadogo kama ka kupanda mbegu za mahindi
  140. kimelo— mche
  141. kiveembo— msiba
  142. -kosola— kosoa
  143. -nyaala— nyauka
  144. -teembeela— tembea, tembelea
  145. wuhavi— uchawi
  146. mnyigaanza— rafiki
  147. taala— taa
  148. -gati 1— chumba
  149. -amula 1— ongoza wimbo kwenye ngoma ya asili ya Kihehe (njuga)
  150. lwiiwu— kumbukumbu, kumbuko
  151. baaha— hapa
  152. -duung'upa— kuwa ekundu
  153. -igagula— pata kifungua kinywa
  154. lubawo— ubao, mbao
  155. lilaanga— anga
  156. -fwaaka— harisha
  157. kitsimba— digidigi
  158. -legula— legeza
  159. kikoong'o— kidonda
  160. kaa!— namna nyingine ya kuonesha mshangao (kaa! kaa! kaa!)
  161. lihafwa— pafu
  162. mwanahiinza— mwanamwali
  163. -sawula— hasi
  164. -sopa— weka
  165. -yava— chimba
  166. liliila— urithi
  167. limisi— kiwele
  168. -kula 2— sugua mzizi wa mti kwenye jiwe kwa ajili ya kutengeneza dawa
  169. -bedala— dharau
  170. kinya— ponda
  171. mgoola— governor's plum
  172. valila— hesabu
  173. -tinasa— kesha
  174. wuposi— unyang'anyi
  175. -kaangafu— -enye nguvu, -enye uimara
  176. -bihila— kataa
  177. mngoni— mngoni
  178. mfuung'ati— saba
  179. -viika— weka
  180. lufu— tumbo la kwanza
  181. mpulya— nta
  182. -olofu— ingi; tele
  183. kiligi— kuma
  184. lihomelo— 'dawa' yenye asili ya kichawi na chanjo, ambayo hunywewa kabla ya vita
  185. kipala— kipara
  186. -taatula— chana
  187. wutine— sembe
  188. -olelela— simulia
  189. nyululu— togwa
  190. -hega— ondoka
  191. -idikila— kukubali
  192. fuufuka
  193. nyongeleesa— nyongeza
  194. -sunyama— chuchumaa
  195. lileemba— kilemba cha wanaume
  196. -nyuluumbula— vuta kitu (kama mpira)
  197. kiheekulo— ??
  198. -finyu— finyu, nyembamba
  199. lipuluumbila— donge, bumba, bonge
  200. ng'uunga— uchungu, utungu (alama ya mjamzito kujifungua)
← →