Kihehe
Donate About Tutorials FAQ
Living Dictionaries
Kihehe
Home
Entries
About Grammar Contributors
Donate About Tutorials FAQ
Terms of Use Privacy Policy Youtube terms Google terms
Entries
  1. luvaha— mto mkubwa
  2. -seemwa— sahau
  3. lipaama— fat [inside the organ's body]??
  4. -hahu— chahcu
  5. litaafu— ung'ang'anizi
  6. naandala
  7. sukumwi— mara moja
  8. luveemba— Kamba ya kitovu ambayo mnyama huzaliwa nayo na hukatika baada ya wiki moja
  9. -eetu— kiwakilishi kimilikishi cha nafsi ya kwanza uwingi
  10. -kena— onesha meno
  11. pamutalo— kabla, mwanzo
  12. -tuunza— tunza
  13. nyeela— missing
  14. lupatila
  15. eenawuli— labda
  16. mamesa— mahindi yaliyoovundikwa kwaajili ya kupika pombe
  17. mbeenya— fukusi anayeshambulia shina la mahindi mabichi
  18. kikwiikwi— kwikwi
  19. kidiindilo— kifungio
  20. komelo— komeo
  21. -fuluma— furumia, fufurika, furika
  22. -hulila— zushia
  23. mwiiguto— shibe
  24. ng'waale— kwale
  25. ndowo— ndoo
  26. ligagala— zizi
  27. -paandula— katua ardhi katika mapande makubwa makubwa
  28. yova— piga yowe/ piga kelele
  29. taandi— kwanza
  30. lufuuwo— imani
  31. kigwaada— ndama
  32. meenya— missing
  33. lwiisi
  34. wugubulile— ufunuo
  35. Kibadi— mba
  36. -tuuya— kutoa sauti ya bundi
  37. -katula— 1. katua, 2. chapa kofi kubwa
  38. fuundo— pingili
  39. kitaanda— kitanda
  40. ku.gaya— bila
  41. -ang'ila— bugia
  42. -ivaha— jivuna
  43. lihoosa— wazo
  44. -pepeelula— peperusha
  45. litoondwe— boga
  46. -haanyila— nyunyizia
  47. mugoosi— mwanamume
  48. kilaatu— kiatu
  49. kisiilo— mtungi
  50. -diiga— paka mafuta mengi zaidi kwenye ngozi
  51. meesa— meza
  52. ng'ang'aanisa— shikamanisha
  53. muhuumba— masai
  54. kajiwe
  55. ogo— really
  56. lodosi— utosi
  57. -kakaala— safisha shamba
  58. -wuumba
  59. -sutasa— pishanisha
  60. piinga— funga (ng'ombe)
  61. kitema— aina ya ufungaji wa kanga au kitenge kwa mwanaume
  62. -gotola— shirikisha, wasilisha
  63. -goondama— inama
  64. -ny'aabula— charaza mjeledi
  65. lupata— mwanya
  66. -egala 2— beba
  67. likelele— shangaa
  68. na 1— 1 kuwa na. 2 na, kwa
  69. ku.buganisa— kumchanganya mtu kwa lengo la kumdhurumu
  70. nyagala— panya-pori mdogo mwenye mistari ambaye huliwa na baadhi ya watu
  71. mbuluulu— mavi ya mbuzi au kondoo
  72. siifu— sifu
  73. -deeka 1— tapika
  74. mhavi— mchawi
  75. mfunaamna— damu inayotoka puani
  76. mwalamwala— taratibu
  77. kahawa ya mwihala
  78. -tala— anza (uchokozi), chokoza
  79. nyawulova— ukoma
  80. kisaaye— mtungi wa maji
  81. vambala— jilisha, chunga, pitiapitia kitabu, kitabu au gazeti n.k bila lengo maalumu
  82. -yeeyeela— lia kwa sauti ya kuomboleza (mfano kwenye msiba)
  83. pulula— toa majani kwenye mmea/mti
  84. lulaasi— mwanzi
  85. mfunikilo— mfuniko
  86. luhoma— mdudu anayeshambulia majani ya mahindi
  87. duuvi— dume la kondoo
  88. mwiibatilo— mshikio
  89. -lagana— peana maagano, fanya makubaliano
  90. -oota— ota
  91. muhehe— mtu mhehe, mtu wa kabila la wahehe
  92. ngweembe— 1. ngao 2. ngozi
  93. -waaga— bweeka
  94. selekaali— serikali
  95. baahala— palepale
  96. -kamiilika— kamilika
  97. wuvele— uwele
  98. tiimbula— changanya
  99. -ende— -pendwa
  100. -ganula— vumbua, elewa
  101. mputa— ulanzi ambao uligemwa siku mbili zilizopita
  102. waana— fanana
  103. -sasavala— ??
  104. ngoolo— yowe
  105. -dakula— kula
  106. mweesi— mwezi
  107. -diinde— fungwa
  108. -puutila— pulizia
  109. lipoma
  110. na 2— na (kiunganishi)
  111. -wonela— onea
  112. lubilikila— kigelegele
  113. wusikimafu— utulivu; hekima
  114. -saatula— hesabu mali za marehemu kwa jailli ya kurithi (hufanyika siku ya tatu baada ya mazishi)
  115. livafi— washawasha
  116. -deenyeka— vunjika
  117. nyonyola— nyonyoa
  118. -tema— kata
  119. yoono— rafiki, jamaa
  120. mtosi myaangu— Mwanamume aliyeoa mdogo au dada wa mkeo
  121. vanga 2— anza, chokoza
  122. -tiiga— chafua maji
  123. -jiba— jibu
  124. -saamba— chezea
  125. Lungeemba— Lugemba
  126. -igogola— goka
  127. lihaame— makazi ambapo mke amefariki na kubaki mume
  128. wunuufu— harufu
  129. kuva 2— kwani
  130. naava— lamba
  131. libaandi— ganda
  132. -baandula— menya (mf. ganda la kitu)
  133. -kusula
  134. -lemala— baki, bakia
  135. kifulufumbi— kimbunga
  136. sekeni— pikipiki
  137. -gasu— pana
  138. bapala
  139. ku.dooda— daka mdako
  140. -hagika— kuanza
  141. mguunda— shamba
  142. -sekeesa— chekecha
  143. ligala— unyoya
  144. -kunga— washa
  145. mahaami— makazi yaliyoachwa na wakaazi
  146. mtaalaamu— mtaalam
  147. muvanda— raia
  148. -piga— fanya
  149. mkamwana— mkwe
  150. -fufula— bungua
  151. -sasula— chachua
  152. -suumba— ruka
  153. -kagula— jua, fahamu
  154. -iyaawula— jikomboa
  155. kikoso— jiko, kigai, moto
  156. kipene— kitoto cha mbuzi, mtoto wa mbuzi.
  157. -amba— kinga
  158. -polotela— tumbukia kwenye shimo jembamba na lenye kina kirefu
  159. chaambaafu— chambavu
  160. -banika 1— banwa
  161. ng'eng'esi— nyota
  162. -vava— uma
  163. -giimbula— zaa (kwa wanyama)
  164. mvele 1— kifungua mimba (mtoto wa kwanza kuzaliwa)
  165. mwaango— uroho
  166. mkaandala— mkanda
  167. -taalipa— refuka
  168. -tuta— toa povu juu kwenye chombo
  169. kinyungu— kitalu; kinyungu
  170. tipu— kwisha kabisa
  171. -iduusa— kujiona mwamba, yaani kujisikia kama wewe una nguvu au mamlaka zaidi ya wengine
  172. lifulaamu— ugonjwa wa kutokwa na damu puani
  173. kipiganiso— kifaa, kitendea-kazi
  174. baha
  175. -ooteela— otea
  176. fwiili— nywele
  177. -oleela— tafuta
  178. ng'ang'aanila— ng'ang'ania
  179. -vaanza— chukua nafaka kutoka ghalani
  180. -guuga— -maumivu; enda choo/haja kubwa; kunya
  181. mwambafu— mtoki
  182. -sabula— opoa
  183. kisaande— kihenge, ghala la kuhifadhia nafaka (mfano: mahindi)
  184. lwaadepa— nyonga
  185. lulagiiso— agano
  186. msika— kwa muda
  187. -komalila— komalia, lazimisha
  188. -sugula— sugua
  189. -tobola— toboa
  190. -nyuka
  191. luleengu— maji safi
  192. mumika— maskini
  193. mfwiile— mwenye-msiba, aliyefiwa
  194. mumiilo— koo la chakula
  195. ling'weenyo— mhindi teke
  196. wiide— upo hivi (ngeli ya 14)
  197. liing'ana— lingana
  198. -sala— dharau
  199. lukaya— kilemba kwa mwanamke
  200. makegasi— mabua
← →