Kihehe
Donate About Tutorials FAQ
Living Dictionaries
Kihehe
Home
Entries
About Grammar Contributors
Donate About Tutorials FAQ
Terms of Use Privacy Policy Youtube terms Google terms
Entries
  1. lidiliisa— dirisha
  2. kisogo— kisogo
  3. vela— kuja kuwa
  4. weesa— weza
  5. luhaaho— mshangao
  6. mhusi— mkia (wa ndege)
  7. mitala— mitara
  8. wuluva— ua/maua
  9. kipweege— missing [aina ya nyani]
  10. mwaadaada— mwanamme
  11. -yuga— yumba
  12. ligida— maksai
  13. palula— mtondo
  14. likaang'a— yai
  15. paapa— bibi
  16. -takila— unga asali kwenye pombe
  17. nzala— njaa
  18. kinyamukela— mtu ana majini
  19. -bana— bana
  20. lugandaganda— jina la zamani la UKIMWI kwa sababu watu walioumwa walikonda sana
  21. tigila— sema
  22. kinyamboga— chungu cha kupikia mboga
  23. wusakafu— uchakavu
  24. mnywiiga— kiburi
  25. -gondola— chota [kwa kidole au mkono]
  26. -hugusa— pukucha
  27. -dogova— kukomeshwa, kuugulia maumivu
  28. muumunago— ndani hapa
  29. mtwaango— mchi
  30. -fufuma— The firewood is producing out steam
  31. -soomba 2— somba
  32. -siila— fukia
  33. lukuuga— 1 shanga. 2 mkanda wa kamba au katani
  34. nyiichumi— kumi
  35. -leemba— weka mpini katika kifaa, kama jembe, shoka, sururu, n.k.
  36. wupifu— juhudi katika kazi (kujituma katika kazi)
  37. lichuungwa— chungwa
  38. -tiing'a 1— ezeka
  39. maanga— sonona
  40. kifugulilo— kikapu cha ukubwa wa debe moja
  41. -wofu— ovu
  42. poonda— ponda
  43. wugolofu— usafi
  44. tamika— ugua
  45. -togosa— tokosa
  46. ng'oligota— aina ya swala (mkubwa kuliko wengine)
  47. -idikisa— kukubali
  48. -banika 2— choma
  49. kiinu— kitu
  50. -egasa— zalisha
  51. nywa— nywa
  52. -sisima— kuwa badiri
  53. -daaya— dai
  54. taa— kwanza
  55. -hoonga nyoni— leta aibu, tia aibu
  56. -sindilisa— malizia
  57. -kupisa— pepesa, kopesa
  58. -budama— inamisha kichwa chini kwa kujificha
  59. ogove— missing (Jina analotumia mke kumwita mumewe linaashiria mapenzi na heshima.Jina hili mke hawezi kumwita mtu mwingine yeyote zaidi ya mumewe)
  60. -tamisa— uguza
  61. -lamusa— amsha
  62. -yasa— poteza
  63. lufwa— mdondo
  64. wumego— mundu
  65. nyuumba— nyumba
  66. litagala— tawi [-a mti]
  67. wiisa— rudia kupanda mbegu maeneo ambapo mbegu hazikuota, au ziliota na kufa
  68. -mwi— moja
  69. -tuuna— shenga
  70. kitusi— ukuta wa pembe tatu katikati ya paa ya nyumba ya mgongo
  71. tuupila— sifia
  72. nyakayeva— kisamvu
  73. luvaanza— Uwanja wa mbele ya nyumba
  74. -kenula— kenua
  75. -hakiikisa— thibitisha
  76. ku.duva— dua
  77. kipelema— swahili missing [aina ya ndege]
  78. lipingangogolo— upinde wa mvua
  79. lifila— usaha
  80. -soota— buruza matako chini
  81. litaago— sehemu ya kuzikia
  82. kitoonga— chungu
  83. lipapayi— papai
  84. -deeka 2— deka
  85. -tuga— jali
  86. -kologa— koroga
  87. mnyidaama— mwanaume
  88. yagilila— toweka, tokomea, yoyoma
  89. migo— kazi
  90. lisuusi— moshi
  91. -pulisa— sikika
  92. -koona— piga kona
  93. -yeya— aibika
  94. wukiva— uyatima
  95. mutuka— gari
  96. ku.funya— piga vibaya
  97. -hova— panda (mfano kwenye gari)
  98. -kala— kauka
  99. -tataava— tembea pole pole
  100. -susiilwa— kumbuka (kwa hamu ya kuona tena)
  101. -haha— chacha
  102. kwihala— porini
  103. -kalaalila 1— taka, hitaji
  104. tyeega— chepuka, epa
  105. ligaanza— kiganja
  106. -katiila— palilia
  107. mwiigiigi— kivuli
  108. lupeembe— pembe
  109. -lalila— ungulia
  110. -keka— kata
  111. kipipili— hali ya kutokutulia pahala pamoja
  112. puumuuna— kung'uta
  113. mapotya— matongotongo
  114. siilula— missing
  115. samanisa— thaminisha
  116. liiho— jicho
  117. koono— sehemu [mahali]
  118. wumika— umaskini
  119. -badula— kata au pasua kitu
  120. kilo— siku
  121. weewe— sisi
  122. -tuma— tuma
  123. -vyaala— panda, otesha
  124. -sava— okota
  125. lulusi— mluzi
  126. kigoongoli— mdudu
  127. mguhu— mkusu
  128. liloongo— udongo
  129. kugagula
  130. udaade— baba yake
  131. lutaambi— utambi
  132. -kalava— nawa, oga
  133. -fuunda— shauri
  134. -pepa— vuta, mfano sigara
  135. -galula— teka
  136. lisaandu— kifaa kilichosokotwa kwa kamba kitumikacho kutundika chakula ili kisiliwe na mbwa au panya
  137. -tyuukula— kujamba kusikosika (unasikia tu harufu yake)
  138. kisiing'anilo— kisigino
  139. panili— lini
  140. -kokola— dhulumu
  141. -vatama— chuchumaa (mf. ndege)
  142. -usa— kuja
  143. -huusika— chujika
  144. wulaasi— ulanzi
  145. -elewa— elewa, jua
  146. -taanga— saidia
  147. -sika 1— tulia
  148. -tang'ana— kutana
  149. ligaanga— jiwe
  150. kisati— Kitita cha mizii iliyofungwa pamoja na inatumika kama dawa ya ugojwa fulani
  151. ku.dana— dhihaki
  152. uuva— jiepusha na mvua (kwakusimama chini ya mtu au kuingia ndani ya kibanda)
  153. -laalika— alika
  154. lukiti— kope
  155. masusu— mavi ya kuku
  156. lwiimbo— wimbo
  157. kinyehe— ndama mchanga zaidi
  158. kwiimilila— simamia
  159. umo— humo
  160. duuma— chui
  161. lifuke— jasho
  162. likegete— mpasuko kwenye kisigino
  163. kipaanda— panda
  164. lifulawe— utumbo mwembamba wa ng'ombe/mbuzi (tumbo la tatu)
  165. nduundulu— twiga
  166. -leembeka— kupandikiza machipukizi ya mimea
  167. -nyakamula— tafuna
  168. vika— wika
  169. -chaanya— juu
  170. -katuka— nyamaza
  171. -lamuka— amka
  172. ndawuli— vipi, namna gani
  173. -fuunya— 1. tema mate/maji 2. kusali, kuomba mizimu
  174. -wopola— vua [viatu, nguo]
  175. lweenge— mwali wa moto
  176. ndaaka— ukingo wa shamba
  177. -pilukila— rudia
  178. pitula— geuza
  179. ku.beta— vuna
  180. mufwiimi— mwindaji
  181. -fwaata— fuata
  182. gwaanda— shati
  183. -lowola— toa kitu toka kwenye maji
  184. -taaga 2— taga mayai
  185. machumi gavili— ishirini
  186. -nenula— tua kitu kutoka kichwani, shusha kitu kutoka kichwani
  187. -vina— kubwa
  188. mluumbe— mchumba
  189. -lela— lea
  190. ku.futa— futa
  191. -tutuma
  192. -batiisa— batiza
  193. likwaava— korongo
  194. -aka— waka
  195. nyamuusa— mboga ya maboga
  196. -heenga— kata kitu katika kundi, mfano, nyasi au msitu kwa kutumia mundu
  197. kibudibudi— popo
  198. lipaala— eneo la wazi lililozungukwa na nyumba
  199. -kabuka— shituka
  200. lumeemi— mwanga wa radi
← →