-alama

Phonetic
[aláma]
Swahili: Translation
kubaki mahali pamoja kwa muda mrefu, kukaa ndani bila kutoka kwa kipindi fulani (mara nyingi huwa ni kwa mwanamke aliyejifungua au kuku aliyeatamia mayai)
English: Translation
remain in one place for a long time.
intransitive verb
finalized
Morphology
alamila, alamika, alamasa