-fudikila
Phonetic
[fuɗikíla]
Swahili: Translation
kupata mtoto baada ya mwingine, wakati yule aliyezaliwa tayari hawezi hata kusimama kwa miguu yake miwili na kwa hiyo atakufa kwa utapiamlo
English: Translation
to have one offspring after another, when the one already born cannot even stand up on its two legs and will therefore die of malnutrition
Part of Speech
verb
Morphology
-fudikisa, -fudikilwa, -fudikiswa