-sogosa

Phonetic
[soɠosâ]
Swahili: Translation
Kuongozwa na kuwa chini ya mtu fulani bila kuwa na maamuzi binafsi.
English: Translation
to be controlled by someone.
transitive verb
Morphology
sogosewa, sogoswa, sogokesa